Spika wa Baraza la Wawakilishi apata kura za kutosha kupita azimio la bajeti

Your browser doesn’t support HTML5

Spika wa Baraza la Wawakilishi la Marekani apata kura za kutosha za 217 - 215 kupitisha azimio la bajeti Jumanne usiku ili kuendeleza juhudi za chama cha Republikan za kuongeza muda wa ziada wa kulipa kodi.

Uingereza yaikalia kooni Rwanda kwa madai ya kujihusisha na mzozo wa DRC kwa kuisaidia M23.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari