Mwanamke huyu anaeleza safari yake iliyomchukua siku saba na pia namna alivyopoteza mtoto wake. Ungana na mwandishi wetu akukuletea habari kamili kuhusu hatma ya mama huyu na watoto wake. Endelea kusikiliza...
Somalia: Mwanamke aeleza safari yake kutoka eneo lililokumbwa na ukame, afiliwa na mtoto wake
Your browser doesn’t support HTML5
Mwanamke ambaye anaelezea sababu zilizopelekea kuondoka katika makazi yake huko Somalia kutokana na hali ya ukame iliyokumba maeneo mbalimbali ya Somalia.