Shambulizi la New Orleans Marekani lauwa kumi na kujeruhi wengine 30

Your browser doesn’t support HTML5

Watu kumi wameuwawa na wengine 30 kujeruhiwa katika mji wa New Orleans hapa Marekani.

Baba mtakatifu Francis amefanya sala kwa ajili ya maisha ya watu waliojeruhiwa.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari