Ukraine: Shambulizi la kituo cha mafunzo ya kijeshi Yavoriv lajeruhi wanajeshi kadhaa
Your browser doesn’t support HTML5
Wanajeshi wa Ukraine waliojeruhiwa wawasili katika hospitali ya mji wa Novoiavorisk, magharibi ya Ukraine baada ya Russia kushambulia Kituo cha Mafunzo ya Kijeshi magharibi ya Ukraine kinacho endesha mazoezi ya kijeshi ya NATO.