Serikali ya Uganda imesema uamuzi wa Benki ya Dunia kusitisha misaada kuwa ni unafiki

Your browser doesn’t support HTML5

Serikali ya Uganda imesema uamuzi wa Benki ya Dunia kusitisha misaada kwa nchi hiyo ni unafiki na inavunja kanuni za kidemokrasia.


Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C. #habari
- - - - -
Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari