Serikali ya Tshisekedi yazindua program za maendeleo katika wilaya 145
Your browser doesn’t support HTML5
Serikali ya Rais Felix Tshisekedi imezindua program maalumu kwa ajili ya shughuli za maendeleo katika wilaya 145 katika mikoa mbalimbali kwa kukuza shughuli za maendeleo.