Serikali ya Tanzania yaunda tume ya watu 12 kushughulikia kero la wafanyabiashara soko la Kariakoo

Your browser doesn’t support HTML5

Serikali ya Tanzania imeunda tume ya watu 12 kushughulikia matatizo ya wafanyabiashara katika soko la Kariakoo nchini Tanzania.

Rais wa Marekani Joe Biden na Spika wa Baraza la Wawakilishi McCarthy wanaendelea na majadiliano kuhusu ukomo wa deni.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari