Maalim Seif Shariff azungumzia suala la mauaji ya Orlando, Marekani

Your browser doesn’t support HTML5

Akitembelea Sauti ya Amerika Katibu Mkuu wa chama cha CUF, Tanzania azungumzia mauwaji ya Orlando ambako watu 49 waliuliwa na 53 kujeruhiwa.