Ruto aahidi kupeleka maafisa wengine 600 wa polisi Haiti

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Kenya William Ruto ameahidi leo kupeleka maafisa wengine 600 wa polisi katika mpango wa kupambana na magenge ya uhalifu Haiti.

Nchini Marekani karibu wahamiaji milioni 24 wanastahili kupiga kura katika uchaguzi wa rais Novemba, 2024.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari