Russia na Congo Brazzaville zakubaliana kujenga bomba la mafuta

Your browser doesn’t support HTML5

Russia imekubaliana na Congo Brazzaville kujenga bomba la mafuta litakalo fadhiliwa na Russia kwa asilimia 90.

Mafuriko yanaendelea kusababisha maafa na athari kubwa kaskazini mashariki mwa Nigeria.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari