Rishi Sunak aidhinishwa kuwa Waziri Mkuu wa Uingereza

Your browser doesn’t support HTML5

Chama cha Conservative kimemuidhinisha Rishi Sunak kuwa Waziri Mkuu wa Uingereza na kuahidi uadilifu, uweledi na kuwajibika katika kuliongoza taifa hilo.