Cyril Ramaphosa alisema amesikitishwa sana na hatua hiyo, ambayo aliitaja kuwa isiyo na msingi, na kutaka marufuku hiyo kuondolewa haraka.
Ramaphosa alaani marufuku ya kusafiri dhidi ya nchi za Kusini mwa Afrika
Your browser doesn’t support HTML5
Rais wa Afrika Kusini amelaani marufuku ya kusafiri iliyopitishwa dhidi ya nchi yake na majirani zake kutokana na aina mpya ya virusi vya corona Omicron.