De Klerk na Rais wa kwanza mweusi wa Afrika kusini Nelson Mandela walipata wote Tuzo ya amani ya Nobel mwaka 1993 kwa kuongoza mabadiliko makubwa kutoka kwa utawala wa wazungu walio wachache nchini humo.
Rais wa zamani De Klerki afariki akiwa na umri wa miaka 85
Your browser doesn’t support HTML5
Rais wa zamani wa Afrika Kusini Frederik De Klerk amefariki akiwa na umri wa miaka 85, taasisi yake imesema Alhamisi.