Rais wa Uturuki apokelewa kwa shangwe Nigeria
Your browser doesn’t support HTML5
Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari amemkaribisha Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan nchini kwake Jumatano. Erdogan atakuwa katika taifa hilo maarufu katika bara la Afrika kwa ziara ya siku mbili ya kikazi.