Rais wa Malawi aeleza nchi yake ilivyoathiriwa na Kimbunga Freddy
Your browser doesn’t support HTML5
Familia nchini Malawi zilifanya mazishi yenye hisia nzito siku ya Jumatano kuwakumbuka na kuwazika waathirika huku rais wa nchi hiyo akiitaka jumuiya ya kimataifa kusaidia. Ungana na mwandishi wetu akikuletea ripoti kamili ya janga hilo lililoletwa na Kimbunga Freddy.