Rais wa kamati ya Olimpiki atoa bishara njema
Your browser doesn’t support HTML5
Wiki moja kabla ya kuzinduliwa michezo ya Olimpiki, Rais wa kamati ya Kimataifa ya Olimpiki ametoa bishara njema kuwa michezo hiyo itakuwa ni ishara ya matumaini kuelekea wakati ujao na kuleta umoja.