Rais wa jumuiya ya madaktari Uganda aunga mkono mgomo wa wafanyakazi wa afya

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa jumuiya ya madaktari Uganda asema anaunga mkono mgomo unaofanywa na wafanyakazi wa afya ambao wanaishutumu serikali kwa kutotengeneza mazingira bora ya kufanyia kazi ili kuweza kushughulika na mlipuko wa Ebola.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari