Rais mteule wa Kenya William Ruto aahidi kusonga mbele utawala wake

Your browser doesn’t support HTML5

Rais mteule wa Kenya William Ruto amesema matarajio ya umma yalikuwa makubwa na hapakuwa na muda wa kupoteza, na aahidi kusonga mbele utawala wake.

Wakuu wa nchi za jumuiya ya SADC wakutana DRC kwa ajili ya mazungumzo ya ukuzaji na kuinua uchumi.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.