Amesema Marekani imekuwa mshirika wa kutegemewa katika juhudi ya nchi ya Somalia kuendeleza utulivu na kupambana na ugaidi.
Rais mpya wa Somalia aishukuru Marekani
Your browser doesn’t support HTML5
Rais wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud Jumanne amemshukuru Rais wa Marekani Joe Biden kwa kuidhinisha majeshi ya Marekani kupelekwa Somalia.