Rais Donald Trump akihutubia kikao cha pamoja cha Bunge la Marekani

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Marekani Donald Trump akihutubia saa tatu usiku (saa za Marekani), au saa 0200UTC(Machi 5) kikao cha pamoja cha Bunge la Marekani ambapo anaorodhesha mipango ya uongozi wake, ikiwemo jinsi ya kuleta amani Mashariki ya Kati na Ulaya Mashariki.