Raia wa Zimbabwe wajiandaa na uchaguzi mkuu kesho

Your browser doesn’t support HTML5

Raia wa Zimbabwe wanajiandaa na uchaguzi mkuu kesho wakati Rais Emmerson Mnangagwa mwenye umri wa miaka 80 na Nelson Chamisa, wakili na mchungaji mwenye umri wa miaka 45 anayeongoza muungano wa upinzani wa Citizens's Coalition for Change (CCC) wakichuana katika uchaguzi huo.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari