Raia wa Namibia warejea kupiga kura katika vituo 36

Your browser doesn’t support HTML5

Raia wa Namibia wamerejea kupiga kura katika vituo 36 vilivyofunguliwa leo baada ya kuwa na uchaguzi uliogubikwa na ghasia ukitarajiwa kupima nguvu ya chama tawala kilichokuwepo madarakani kwa miaka 34.

Mkuu wa Shirika la Biashara Ulimwenguni Ngozi Okonjo-Iweala ameteuliwa tena kwa awamu ya pili leo Ijumaa katika kikao maalum.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari