Raia wa Angola wapiga kura katika uchaguzi wenye ushindani mkali

Your browser doesn’t support HTML5

Raia wa Angola wamepiga kura kuchagua rais na viongozi wengine kwenye uchaguzi wenye ushindani mkubwa huku kikiwa na uangalizi wa kimataifa takriban 2,000.

Ukraine yaadhimisha uhuru wake Jumatano wakati vita kati yake na Russia vikiendelea kwa miezi sita hadi hivi sasa.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.