Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari
Polisi wapelekwa Maine kumsaka mshukiwa wa shambulizi la bunduki
Your browser doesn’t support HTML5
Mamia ya polisi wako Maine, Marekani kumsaka mshukiwa wa shambulizi la bunduki lililouwa watu wasiopungua 16.