Plastiki iliyochakatwa tena yatumika kutengeneza vifaa vya shule, kuhamasisha utunzaji mazingira

Your browser doesn’t support HTML5

Kutana na mwanamke mbunifu ambaye anatumia uchafu wa plastiki kutengeneza vifaa mbalimbali vinavyotumiwa na wanafunzi kwa plastiki ambayo imechakatwa tena.

Ungana na mwandishi wetu akikuletea kwa muhtasari jinsi kampuni hii iliyoko nchini Uganda ilivyoweza kuvutia shule ya msingi kutumia vifaa mbalimbali vya shule inavyotengeneza na kuwatumia wanafunzi kufikisha ujumbe wa kutunza mazingira.