Ofisi ya haki za binadamu ya UN yathibitisha watu takriban 87 wamezikwa kaburi la pamoja Darfur

Your browser doesn’t support HTML5

Ofisi ya Umoja wa Mataifa inayoshughulikia haki za binadamu imesema takriban watu 87 wakiwa pamoja na wale wa kabila la wamezikwa katika kaburi la pamoja, Darfur, Sudan.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari