Obama kuhutubia wajumbe wa mkutano mkuu wa DNC Chicago

Your browser doesn’t support HTML5

Mkutano mkuu wa Demokratik unaingia siku ya pili ambapo Rais wa zamani Barack Obama atahutubia wajumbe kuwashawishi kumpigia kura Kamala Harris.

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken amesema kwamba Israel ipo tayari kusitisha vita.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari