Nini kilirudisha nyuma juhudi za chanjo ya kinga ya saratani ya shingo ya kizazi?

Your browser doesn’t support HTML5

Malawi ilitoa chanjo katika kampeni ya kitaifa ya Human Papilloma Virus mwaka 2019 ikiwalenga wasichana milioni moja na nusu wenye umri wa miaka tisa hadi 14 ilikuwakinga na saratani ya shingo ya kizazi.

Lakini nini kilizuia msukumo wa chanjo hiyo? Ungana na mwandishi wetu akikuletea ripoti kamili kuhusu kurudi nyuma kwa juhudi hizo. Endelea kusikiliza...