Nini Baraza Kuu la UN - Maarufu kama UNGA?
Your browser doesn’t support HTML5
Kila Septemba, viongozi kutoka kote duniani wanafika makao makuu ya Umoja wa Mataifa kwa ajili ya majadiliano ya kila mwaka kwenye Baraza Kuu. Lakini basi nini UNGA na kipi ni muhimu sana kuhusu mjadala huu wa kila mwaka?