Naibu Rais Gachagua atakabiliana na Seneti kujitetea kutoondolewa madarakani

Your browser doesn’t support HTML5

Naibu Rais wa Kenya Rigathi Gachagua atakabiliana na Baraza la Seneti katika kesi ya kutaka kuondolewa madarakani baada ya Mahakama ya Juu Nairobi kukataa kutoa maagizo kuzuia seneti kuendelea na mjadala.

Wakazi wa mji mkuu Lebanon, Beirut bado wana wasiwasi hivi leo baada ya Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu kutishia kuendelea na mashambulizi dhidi ya wapiganaji wa Hezbollah.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari