Mzigo wa magonjwa yanayochochewa na virusi barani Afrika.
Your browser doesn’t support HTML5
Maambukizi ya virusi ni suala linaloleta wasiwasi duniani. Kulingana na ripoti za Shirika la Afya Duniani maambukizi yaliyopo kama vile COVID-19 yanaongezeka mara kwa mara huku kukiwa na changamoto zinazoendelea kama vile HIV na homa ya ini hasa katika nchi za kipato cha chini na cha kati.