Mwandishi wa habari auawa kwa roketi Ukraine
Your browser doesn’t support HTML5
Mwandishi wa shirika la habari la AFP nchini Ukraine anayesimamia kazi ya kupiga video Arman Soldin aliuawa Jumanne na roketi iliyorushwa karibu na mji wa Chasiv Yar mashariki mwa Ukraine, waandishi wa AFP na walioshuhudia tukio hilo walisema.