Lakini hivi sasa anamatumaini kwa sababu sindano hiyo imeidhinishwa kutumika nchini Zimbabwe ataweza kupigwa kila baada ya miezi miwili. Ungana na mwandishi wetu kusikiliza jinsi mwanamama huyo anavyoeleza jinsi alivyopokea matibabu hayo na anashauri nini...
Mwanamke aeleza faida za kutumia sindano kuzuia HIV
Your browser doesn’t support HTML5
Mwanamke wa Zimbabwe aeleza alipigwa sindano ya kuzuia HIV wakati alipokuwa anafanya kazi nchini Marekani. Kabla ya kupigwa sidano hiyo alikuwa akitumia dawa za HIV kila siku kwa miaka saba.