Wapalestina wapekua vifusi kutafuta mali katika eneo la Khan Younis, Gaza kufuatia shambulizi la Israel karibu na shule inayosimamiwa na Umoja wa Mataifa kuwahifadhi watu waliokoseshwa makazi.
Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari