Mshauri wa Usalama wa Marekani afanya mazungumzo na Rais Xi

Your browser doesn’t support HTML5

Mshauri wa Usalama wa Marekani amekutana na Rais wa China Xi Jinping katika ziara ya kuimarisha ushirikiano kati ya nchi hizo mbili.

Shirika la la Marekani USAID limeimarisha juhudi za kupambana na dhulma za kijinsia nchini Kenya.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari