Mpinzani wa Rais Putin afariki akiwa jela

Your browser doesn’t support HTML5

Mpinzani mkubwa wa Rais wa Russia Alexey Navalny amefariki akiwa jela nchini humo.

Mamlaka nchini Zimbabwe imesema inawasiwasi kuhusu kuongezeka kwa uhalifu hasa wizi wa kutumia silaha.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari