Moto katika shule wauwa watoto 17 kaunti ya Nyeri

Your browser doesn’t support HTML5

Watoto 17 wafariki katika tukio la moto shuleni kaunti ya Nyeri katikati mwa Kenya.

Mkutano Mkuu kati ya China na Afrika umekamilika huku kukiwa na matumaini ya kuimarisha ukuaji wa viwanda na biashara.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari