Mkutano wa Viongozi wa Afrika wafunguliwa Beijing, makubaliano ya kukarabati reli ya TAZARA yakamilika

Your browser doesn’t support HTML5

Mkutano kati ya China na viongozi kutoka Afrika unaendelea Beijing, China, huku kukiwepo makubaliano kati ya Tanzania, Zambia na China kuhusu kukarabati reli ya TAZARA.

Chanjo dhidi ya MPOX kuwasili Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo siku ya Alhamisi.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari