Mkutano wa G20 waanza Brazil

Your browser doesn’t support HTML5

Mkutano wa G20 waanza Brazil ukijumuisha viongozi mbalimbali kutoka nchi zenye uchumi mkubwa.

Marekani imeruhusu Ukraine kutumia silaha zake kuingia ndani zaidi nchini Russia katika makabiliano na nchi hiyo.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari