Tunapambana nalo kwa rasilimali chache, tumepungukiwa rasilimali kwa 30% kuliko ilivyokuwa katika utawala uliopita kukabiliana na ongezeko kubwa la tishio la Jihadi. Amesema hayo katika mkutano ulioandaliwa na Baraza la Sera za Kigeni la Marekani uliyofanyika Februari 12, 2025, Washington, DC. Endelea kusikiliza….
Mkurugenzi wa Idara ya Kupambana na Ugaidi aeleza ukubwa wa tishio la jihadi
Your browser doesn’t support HTML5
Mkurugenzi Mwandamizi wa Idara ya kupambana na ugaidi ya serikali ya Marekani, Sebastian Gorka anasema kuwa tishio la Jihadi duniani limeongezeka sana.