Miss Universe atembelea jengo la Empire Jijini New York
Your browser doesn’t support HTML5
Mshindi wa Miss Universe mwaka 2022 kutoka India ametembelea wiki hii Jengo la Empire, New York, Marekani ikiwa ni sehemu ya kusheherekea ushindi wake huo akihamasisha afya ya wanawake kuenzi kazi ya udaktari ya mzazi wake.