Mgombea wa chama tawala cha MPLA Lourenco awahimiza wananchi kupiga kura
Your browser doesn’t support HTML5
Mgombea wa chama tawala cha Angola, MPLA, João Lourenço amepiga kura Jumatano huko Lusiada, Chuo Kikuu cha Angola, jijini Luanda akiwa na mkewe Ana Dias Lourenco.