Mchekeshaji wa Tanzania Massanja Mkandamizaji aeleza uzoefu wake katika tasnia pamoja na utumishi wa Mungu
Your browser doesn’t support HTML5
Mchekeshaji kutoka Tanzania, Askofu Emmanuel Mgaya wa Kanisa la Free Church Tanzania, al-maarufu Massanja Mkandamizaji, anaeleza jinsi alivyojizatiti katika tasnia pamoja na kuongoza kanisa