Mbowe azungumzia umuhimu wa katiba mpya, asikitishwa na propaganda

Your browser doesn’t support HTML5

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) nchini Tanzania, Freeman Mbowe amesema mijadala ya kisiasa nchini humo bado inaendelea ili kufikia maridhiano na serikali.

Ameeleza pia umuhimu wa katiba na kusema inasikitisha kuona baadhi ya propaganda zenye lengo la kupotosha kuwa wananchi hawahitaji katiba mpya. Endelea kusikiliza mahojiano haya maalum kwa ukamilifu.