Mawakili wa jamii ya Wamasai walioondolewa Ngorongoro na Loliondo kufungua kesi
Your browser doesn’t support HTML5
Mawakili wa jamii ya Wamasai walioondolewa na serikali ya Tanzania maeneo ya Loliondo na Ngorongoro waeleza watafunguwa kesi kupiga vitendo vya unyanyasaji vilivyofanywa na jeshi la polisi.