MATUKIO YA MWAKA 2022 TANZANIA: Tukio la Kihistoria la Spika Kujiuzulu

Your browser doesn’t support HTML5

Shinikizo kutoka kwa makada mbalimbali zikiwemo za wabunge, viongozi wa chama cha mapinduzi lilipelekea kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai kujiuzulu,

Hatua hii ilifuatia matamko ya Spika kuhusu mikopo ya Tanzania. Ungana na mwandishi wetu akikuletea yale masuala muhimu yaliyojiri nchini Tanzania katika kipindi cha mwaka 2022.