Mashirika ya ndege ya United na Delta yasimamisha safari zake
Your browser doesn’t support HTML5
Hatua hii imechukuliwa wakati maambukizi ya kirusi cha Omicron kinachosababisha COVID-19 yakiongezeka kwa wafanyakazi wake wa ndege na wafanyakazi wengine.