Wachezaji hao wakishangiliwa na baadhi ya watizamaji na wengine wakiwabeza katika mchuano huo.
Mashindano ya Mieleka Sudan
Your browser doesn’t support HTML5
Shangwe na ubezaji vikisikika wakati moja katika uwanja wa mpira wa Haj Youssef nje kidogo ya mji mkuu wa Sudan Khartoum mara wachezaji mieleka wenye misuli mikubwa kuanza kupambana. (AFP)