Mashambulizi ya Israel yapiga eneo la Hospitali ya Al-Aksa katikati ya Ukanda wa Gaza

Your browser doesn’t support HTML5

Wafanyakazi wa huduma za afya wa Palestina wamesema mashambulizi ya Israel yamepiga katika eneo la Hospitali ya Al-Aksa katikati ya Ukanda wa Gaza.

Rais wa Marekani Joe Biden alitembelea maeneo kadhaa yaliyoathiriwa na Kimbunga Milton huko Florida na kutangaza ufadhili mpya.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari