Marekani: Ziara ya Waziri wa Fedha Afrika kuboresha uchumi

Your browser doesn’t support HTML5

Utawala wa Rais wa Marekani Joe Biden unajaribu kuashiria uungaji mkono wake katika kuboresha uchumi wa mataifa mengi ya Afrika.

Afrika ni ambako vijana wengi hatimaye ndiyo watakuwa wahusika wakuu katika ukuaji wa uchumi wa nchi katika miongo ijayo. Fuatilia ziara ya Waziri wa Fedha Marekani katika nchi za Afrika. Endelea kusikiliza...